Friday, May 4, 2012

HILI NDIO GOLI BORA KATIKA MISIMU 20 YA PREMIERLEAGUE - ROONEY AFUNIKa
 Goli la Wayne Rooney la tik taka dhidi ya Manchester City msimu uliopita limeshinda kama goli bora kabisa tangu kuanza kwa Barclays Premier League - kwa maana ya msimu 20 iliyopita.

Bao hilo lilitangazwa jana alhamisi jioni na chama cha waandishi wa habari wa soka katika chakula cha usiku jijini London.

Wayne Rooney akiwa na tuzo yake.


Mshambuliaji huyo wa Manchester United  alifunga bao hilo katika uwanja wa  Old Trafford mwezi wa pili mwaka jana limeyashinda magoli mengi yaliyofunga katika miongo miwili iliyopita.

angalia goli la ROONEY hapa 
http://www.youtube.com/watch?v=rEJNDno0cbU&feature=player_embedded

No comments:

Post a Comment