Friday, May 11, 2012

UDOM, WARAKA WA PICHA ZA MAVAZI YASIOTAKIWA CHUONI HAPO

Hii ni picha ambazo zinonyesha aina ya mavazi na staili za nywele ambazo Uongozi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma umezipiga marufuku Chuoni Hapo.Na Waraka Huu wa Pili Umetolewa na Kubandikwa leo katika muendelezo wa Kutoa waraka wa mavazi ambao wa kwanza ulibandikwa jana

No comments:

Post a Comment