Monday, May 14, 2012

UDOM,HALI NI MBAYA,,,,,!!!!!!!!!

Picha hapo ni website ya Google ambapo kwenye sehemu ya kusearch pameandikwa " BOOM LA UDOM LINI?"
Kazi Ipo hapa BOOM tatizo na je hii Ndoa Itadumu kweli.........Hali ni mbaya UDOM, wanafunzi wanalilia boom

2 comments:

  1. hahaha kaka umeuaaa...

    ReplyDelete
  2. daah!!!!!!!!!!kaka nimeipenda hiyo habari,ndivo hali halisi ya pande za vyuoni

    ReplyDelete