Friday, May 25, 2012

BONANZA LA TIGO LAWAKUTANISHA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU JIJINI DAR ES SALAAM

Wachezaji wa Netbol wa chuo cha IFM wakipasha misuli moto kabla ya kuingia uwanjani
Mchezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya UDSM ,Simba Kilumbi akitafuta jinsi ya kumtoka mchezaji wa chuo cha IFM wakati wa bonanza la vyuo vikuuu Dar es salaam

Mchezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya UDSM ,Simba Kilumbi akitafuta jinsi ya kumtoka mchezaji wa chuo cha IFM wakati wa bonanza la vyuo vikuuu Dar es salaam
Baadhi ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali jijini Dar es salaam wakiangalia mpira
Hapa kazi tuuu

No comments:

Post a Comment