Thursday, May 17, 2012

WASHIRIKI WA MISS HIGHER LEARNING DODOMA 2012


Jacqline Mwanicheta 
 Belinda Mbogo
 Virginia Mokiri
  Mariana Kundya
 Elizabeth Tarimo
Janeth Madama
Tatu Mohamed
 Jennifer Mafuru
Lilian Lavian
Lilian Maleo

Warembo 11 wanao  shiriki miss high learning Dodoma 2012


Washiriki wa Redds Miss Higher Learning Dodoma 2012, wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao ya mazoezi iliyopo katika Ukumbi wa NK Club mjini Dodoma leo. Warembo hawa watapanda jukwaani Ijumaa hii kuwania taji hilo.
 ***

Warembo 11 wa Redds Miss Higher Learning Dodoma wanataraji kupanda Jukwaani May 18,2012 katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma kuwania taji hilo kwa mwaka huu.

Show hiyo inataraji kuzindikizwa na Mwimbaji bora wa Kiume wa Tuzo za Kili Music Award 2012, Barnaba kutoka kundi la THT ambaye kwa sasa anawika na wimbo wake wa Magubegube.


Shindano hilo mbali na kudhaminiwa na REDDS, pia limepata udhamini wa Nokia, Star Time, Nina’s Fashion, Shabby Bus, Clouds FM, African Dream, Club 84, Radio Kifimbo, Salama Salon, Jambo Leo, Mapouder Cosmetics, Emage For You, Salome Boutiq, Dicentman Blog, Lukaza Blog, University corner blog na Café La’Tino.

No comments:

Post a Comment