Friday, May 25, 2012

KUTOKA MAKTABA YETU,,,, BODI MPYA YA MFUKO WA ELIMU TANZANIA

Waziri Kawambwa azindua Bodi Mpya ya Mfuko wa Elimu Tanzania

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akikabidhi sheria ya Mfuko wa Elimu kwa Mwenyekiti wa bodi mpya ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Dk. Naomi Katunzi wakati wa uzinduzi bodi hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam Machi 07.12.
Wajumbe wa bodi mpya ya Mamlaka ya Elimu Tanzania katika picha ya pamoja na mgeni rasmi. Waliokaa kutoka kushoto ni Profesa Imannuel Bavu, katibu wa bodi hiyo na mkurugenzi wa mamlaka Rosemary Lulabuka, Mgeni rasmi aliyezindua bodi hii Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa (MB), Mwenyekiti wa bodi  Dkt Naomi Katunzi na Profesa Siriel N. Massawe. Waliosimama kutoka kushoto ni Vuai Khamisi Juma, na Ndugu Kalinga.

No comments:

Post a Comment