Monday, May 21, 2012

HARAKATI ZA UCHAGUZI DARUSO-IRINGA 2012

Harakati za kampeni za uchaguzi wa serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha dare es salaam, kitivo cha ualimu MUCE-Iringa wanaendelea na kampeni za kutafuta viongozi wa DARUSO ( Dar es salaam University Students Organization) mwaka 2012-2013, Uchaguzi utafanyika Kesho Tarehe 22 may 2012 chuoni hapo, Hali ya kampeni hizo ni shwari na wagombea wote tayari wamesha hitimisha kampeni zao leo na kujianda kwa uchaguzi hapo Kesho,,,,
Ripoter wetu ana taarifa zaidi kwa picha,,,
Mgombea urais DARUSO- MUCE akitoa sera zake kwa nafunzi kabla ya kuhitimisha kampeni hizo leo jioni
Wanafunzi wa chuo cha MUCE wakifuatilia kwa makini sera za mgombea
Harakati za uchaguzi zinavyo malizika usiku wa leoMUCE-IRINGA
Mgombea makamu wa rais MSENGI RUKIA akihitimisha zoezi la kampeni usiku wa leo katika viwanja vya chuo kikuu MUCE -IRINGA
Mgombea Makamu wa rais MUCE akiwa katika picha ya pamoja na supporters baada ya kutoa sera zake na kuhitimisha kampeni za uchaguzi usiku wa leo
wadau wakifuatilia sera za wagombea uongozi wa wanafuzi leo mchana


No comments:

Post a Comment