Tuesday, May 15, 2012

SCHOLARSHIP SCHOLARSHIP SCHOLARSHIP

Scholarship fro Undergraduate studies in TURKEY, ALGERIA, INDIA, CHINA, and RUSSIA are official announced by the Ministry of Education in Tanzania on may 10 this year,

Taarifa kutoka Wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi.

 " Wanafunzi waliomaliza kidato cha sita mwaka 2012 watatakiwa kufanya maombi hayo kwa njia mbili, yaani watatuma maombi yao kutipitia tume ya vyuo vikuu (TCU) na pia wanatakiwa kupeleka maombi hayo wizarani,
NB: 
Mwanafunzi anayetakiwa kutuma niyule mwenye vigezo tuu, yaani awe amepata angalau E mbili katika matokeo yake ya kidato cha sita na C tano katika matokeo yake ya kidato cha nne,
 Aidha maombi ya wanafunzi wasio na vigezo hayata shughulikiwa."

Kwa maelekezo ya masomo yanayo telewa katika kila nchi tembelea Wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi iliyopo opposite na Ikulu jijini Dar es salaam, Tanzania.
Kwa msaada zaidi Uliza:
 OFFISI YA MAMA KIBAYA au MZEE RAJABU
Deadline is this may 29/2012

9 comments:

 1. Hamady hujasikia about canada hz scholarship

  ReplyDelete
 2. Thankx 4 info kiongoz!

  ReplyDelete
 3. Wat if umemaliza miaka ya nyuma inakuaje?

  ReplyDelete
 4. kama umemaliza miaka ya nyuma pia waweza apply though u should check for minimum age(umri) required for particular shcolarship....

  ReplyDelete
 5. Hey guyz za canada bado sija zisikiamay be nenda ubalozi,,,,! and kama umemaliza miaka ya nyuma nenda kamuulize mamakibaya pale wizarani,,,,

  ReplyDelete
 6. JAMANI WHY YUR POSTIN THESE THINGS LATE?

  ReplyDelete
 7. HI BRO...! GRADUATE SCHOLARSHIP FROM UNITED KINGDOM ZINATOKA LIN?

  ReplyDelete
 8. When ѕome one seaгches for his nеceѕѕarу thing, so he/she wiѕhes to bе avaіlable that in ԁetail, therefoге that
  thing is maintained ovеr here.

  Hеre is my web ρagе: payday loans

  ReplyDelete
 9. Goοd poѕt. ӏ learn something totаlly nеw and сhallenging on websiteѕ I stumblеupon
  eѵеryday. ӏt's always interesting to read through content from other writers and use a little something from their web sites.

  My page - raspberry ketones supplement pills

  ReplyDelete