Thursday, May 10, 2012

KAMERA YETU NDANI YA KITIVO CHA ELIMU CHA CHUO KIKUU CHA DODOMA JIONI HII

Hostel of the Faculty of Education at the University of Dodoma, that is how  you can see when you are walking towards the faculty
(Hosteli za Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma Zinavyoonekana wakati ukiwa unaelekea katika kitivo hiko)
These are some of the hostel buildings of the  faculty of education at the University of Dodoma
This is one of the offices of the Faculty of Education at the University of Dodoma
Attracting themes of the Faculty of Education at the University of Dodoma with existing mountain behind the Hostel being greenish when it rains in Dodoma Region
(Mandhari ya Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma yanavyovutia huku mlima uliopo nyuma ya Hostel ukiwa unawaka kwa rangi ya kijana wakati huu wa mvua Mkoani Dodoma)
Huu ndio Mlima Uliopo Nyuma ya Hostel katika Picha hapo Juu Jinsi unavyomeremeta kwa rangi nzuri ya Kijana Na Mlima Huu Ndipo Minara Yote ya Kampuni ya Simu Ilipowekwa kuakikisha Kuwa Hakuna Shida ya Mawasiliano Katika Chuo Kikuu Cha Dodoma na Vitongoj Vyake Kama Minara inavyooneka katika Picha hapo Juu
This is the building of the library of the Faculty of Education at the University of Dodoma
Here is the front of the Library of the Faculty of Education at the University of Dodoma as you seen
 Hiki ni baadhi ya Chumba Katika Hostel za Kitivo Cha Elimu. Chumba Hiki kwa kweli kimepangiliwa Vizuri sana hadi kuvutia mgeni anayeingia humu.
(hostel room at Dodoma university)
Maeneo yanayozunguka Hostel za Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma
Hapa ndipo kituo cha Daladala Cha Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma kama Panavyoonekana

1 comment:

  1. majengo mazuri but mazingira hayavutii wanashindwa hata kuotesha majani. picha ya tano hapo nyuma ya jengo dampo au?

    ReplyDelete