Wanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Makumbusho Jijini Dar es Salaam, Hili ndio taifa bora lakesho linaandaliwa katika mazingira haya, Shule hii ipo katikati ya jiji la Dar es salaam,
Swali;
b) Serikali kutokuwa na mbinu bora za kuyaboresha maisha kufuatia ongezeko la idadi ya watu
c)Mwalimu mkuu kuruhusu kuandikisha watoto zaidi ya uwezo wa shule.
d)Yote ni majibu sahihi
HAWA NI BAADHI YA WANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA KATIKA SHULE YA
MSINGI MAKUMBUSHO YA JIJINI DAR ES SALAAM WAKIWA DARASANI, SIJUI WAPOWANGAPI, WATOTO HAWA HULAZIMIKA KILA MWEZI KULIPA Tsh1000 YA MTIHANI WA MWEZI,Tsh 1500 YA MTIHANI WA TERM,Tsh500 YA KILA SIKU YA UJI HAPO BADO TIUSHENI,USAFI, MLINZI,LEBO,VIDUMU,FAGIO, NA MADAFTARI PIA
HULAZIMISHWA KUNUNUA HAPOHAPO NA BADO WANASOMA WAKIWA WAMEKAA CHINI YA SAKAFU,PICHA HIZO HAPO JUU NI LEO ASUBUHI
Swali;
Je huko vijijini hali ipoje,,,? Nani anapaswa kulaumiwa,,,,?
a) Watu kuzaliana kwa wingi kusababisha msongamano jijini Darb) Serikali kutokuwa na mbinu bora za kuyaboresha maisha kufuatia ongezeko la idadi ya watu
c)Mwalimu mkuu kuruhusu kuandikisha watoto zaidi ya uwezo wa shule.
d)Yote ni majibu sahihi
MSINGI MAKUMBUSHO YA JIJINI DAR ES SALAAM WAKIWA DARASANI, SIJUI WAPOWANGAPI, WATOTO HAWA HULAZIMIKA KILA MWEZI KULIPA Tsh1000 YA MTIHANI WA MWEZI,Tsh 1500 YA MTIHANI WA TERM,Tsh500 YA KILA SIKU YA UJI HAPO BADO TIUSHENI,USAFI, MLINZI,LEBO,VIDUMU,FAGIO, NA MADAFTARI PIA
HULAZIMISHWA KUNUNUA HAPOHAPO NA BADO WANASOMA WAKIWA WAMEKAA CHINI YA SAKAFU,PICHA HIZO HAPO JUU NI LEO ASUBUHI
No comments:
Post a Comment