Kampeni za uchaguzi wa serikali ya wanafunzi wa IFM zilizoitimishwa jana usiku na wagombea wote kujiandaa tayari kwa uchaguzi unaofanyika leo Jumatatu tarehe 7 may 2012, wikend hii wagombea hao walijitahid kufanya kampeni hizo kwa nguvu ya hali ya juu reporter wetu anatuhabarisha zaid,,,
|
Repoter KITOP, at ifm |
"Mbwembwe za kampeni ziliendelea hapo jana (sunday) jioni maeneo haya na ambapo wafuasi
wa bwana Michael Charles waliendelea kufanya kampen kwa nguvu huku
wakipata ushindani wa hali ya juu kutoka kwa wafuas wa ndugu Emanuel Kalindaga ambaye ametokea kupewa support kubwa kutoka kwa vijana maarufu
kwa jina la BACKCHA, hawa vijana wanaendesha kampeni zao kwa nguvu na
kwa kutumia viburudisho vingi kama mavuvuzela yaliyojichukulia umaarufu
sana katika kombe la dunia 2010 huko Afrika kusini, hata hivyo habari zinasema
kuwa vijana hao wameamua kumpigia bwana Kalindaga kampeni baada ya
mheshimiwa huyo kutoa takrima ya pombe na lunch kwa vijana hao maeneo ya Southern Sun,
Hata hivyo niliongea
na vijana wawili watatu wa Backcha na wakadai hawawezi kuuza kura yao
kwani kwa kufanya hivyo watakuwa wamejishushia heshima zao na hata thamani
ya elimu yao,
Pia walisema wao hawataacha kula takrima, wakipewa
wataitumia na ifikapo hiyo Jumatatu watamchagua mtu mwenye sera na siasa
ya ukweli, ama hakika sasa watu wanajitambua na harakat za kufanya uchaguzi zinaendelea na punde tutakuhabarisha kitakacho jiri ni mimi reporter wenu KITOP,at ifm."
Matukio katika picha,,,,,
|
Wadau wa Michael wakiwa kwenye poz siku ya Jumapili usiku |
|
Kampeni zikiendelea hadi class, Kwa umakini vijana wanasikiliza sera za mgombea |
|
Wadau wa Michael katika poz, at ifm Jumamosi |
No comments:
Post a Comment