Thursday, May 17, 2012

GARI ALILO PATA NALO AJALI MSHAMBULIAJI WA KIMATAIFA PARTICK MAFISANGO LEO ASUBUHI

Gari lilosababisha kifo cha Mshambuliaji wa kimataifa wa mabigwa wa soka Tanzania na Bara Simba SC,Patrick Mutesa Mafisango Leo Alfajiri Picha na Mdau Francis Dande-Muhimbili
Marehemu Patrick Mutesa Mafisango
 
HABARI TULIZO ZIPOKEA ASUBUHI HII ZINAPASHA KUWA MSHAMBULIAJI WA KIMATAIFA WA MABINGWA WA SOKA TANZANIA BARA SIMBA SC, PATRICK MUTESA MAFISANGO, NA MCHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA RWANDA AMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI ILIYOTOKEA MAENEO YA TAZARA JIJINI DAR ES SALAAM ALFAJIRI YA SAA 10 BAADA YA GARI ALILOKUWA NA WENZAKE  KUTUMBUKIA MTARONI NA YEYE KUFARIKI PAPO HAPO.

MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI

 AMEN

No comments:

Post a Comment