Saturday, May 19, 2012

MTANZANIA WA KWANZA KUFIKA KILELE CHA MT. EVEREST

Wilfred Moshi aweka historia yakuwa Mtanzania wa kwanza kupanda mlima mrefu kuliko yote dunian, Mt. Everest
Kilele cha Mlima Everest
Katika safari ya kupanda Mlima Everest
Wilfred Mosh na rafiki zake wakiweka cambi, katika safari yao ya kupanda Mlima Everest


 

1 comment:

  1. fred umeweka record ya taifa na dunia kwa ujumla Justine Shirima

    ReplyDelete