Sunday, May 27, 2012

WANAFUNZI WA UDSM WALIO HUDHURIA MKUTANO WA KUJADILI MATUMIZI YA NISHATI KARNE YA 21 JOHANNESBURG

 Baadhi ya Wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) wakiwa katika picha ya pamoja mapema leo mara baada ya kushiriki mkutano wa kujadili  maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika, Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika, umefikia tamati jana ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini .Picha na Ahmed -Johanneburg

No comments:

Post a Comment