Baada ya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi wa ifm, IFM-SO kumalizika wiki moja iliyopita, jana tarehe 17 may 2012 ilikuwa nisiku ya kuwapishwa kwa uongozi mpya
nakubabidhiwa offis rasim,
Habari kamili na ripoter wetu,,,,
" Katika hali ya furaha wanafunzi wa ifm waliudhuria katika sherehe za kuapishwa kwa viongozi wapya waserikali ya wanafunzi ifm, sherehe zilizo fanyika katika ukumbi
wa function hall uliopo chuoni hapa,
Aidha wasimamizi washerehe hizo (ifm electrocometee) wanasema kuwa sherehe hizi hazija hudhuriwa na wanafunzi wengi kutokana na wengi wao kujiandaa na mitihani inayo anza jumatatu ijayo,,,
Pia ifm electrocometee ilisema imeshangazwa sana na kutotokea kwa rais aliye maliza muda wake Bw Moses Mgodo katika sherehe hizo.
Aidha Rais Michael Charles alipata muda mfupi wa kuongea na kusema
" Mimi na team yangu tunashukuru sana kwakutupa nafasi hii na tunawaahidi kutekeleza yale yote tuliokuwa tuna ya sema kwa ushirikiano wenu pia sasa kampeni za uchaguzi zimekwisha na tunaomba tushikamane wote kwa kujenga IFM mpya na yenye nguvu,, Nasisitiza kuwa kampeni za uchaguzi zimekwisha na hatuna budi kuungana na kuwa kitu kimoja kukamilisha matakwa yetu ya kuwa hapa chuon,
Nawatakieni mtihani mwema na afya njema, Mungu ibariki IFM Mungu ibariki Tanzania, hayo yalikuwa nimamemo ya Rais Michael Charles"
Picha za matukio zita wajia hivi punde,!!
nakubabidhiwa offis rasim,
Habari kamili na ripoter wetu,,,,
The Reporter, KITOP, at ifm |

Tunashukuru sana kwa taarifa bwana kitop, marekebisho, Rais aliyeondoka madarakani anaitwa bwana Moses Mngodo na sio Mgodo kama ulivoandika, pili electrol committee ya chuo chenu haikua fair hata kidogo kwani ilibase kwa upande wa michael charles na kuhusu kutotokea kwa Rais mstaafu kwenye shughuli za kuapishwa kwa Rais mpya ni madhumuni ya electrol committee yenu kwani ilimpatia barua ya mwaliko bwana Moses Mngodo ya kwamba shughuli hiyo ingefanyika tarehe 17 sa tisa alasiri na kinyume chake kufanyika kwa wizi sa tano na nusu asubuh. mh. Rais mstaafu alisikitishwa sana kwa kitendo hicho na alifikisha malalamiko yake kwa dean of student. na sio mh Rais peke yake bali hata Katibu Mkuu mstaafu wa serikali ya wanafunzi alipewa mualiko huo ulionesha saa tisa alasiri. nakala za hizo za barua niliziona mwenyewe kwa macho yangu kwa uthibitisho zaidi muone dean of student au mh rais mstaafu.
ReplyDeleteTunashukuru sana kwa taarifa bwana kitop, marekebisho, Rais aliyeondoka madarakani anaitwa bwana Moses Mngodo na sio Mgodo kama ulivoandika, pili electrol committee ya chuo chenu haikua fair hata kidogo kwani ilibase kwa upande wa michael charles na kuhusu kutotokea kwa Rais mstaafu kwenye shughuli za kuapishwa kwa Rais mpya ni madhumuni ya electrol committee yenu kwani ilimpatia barua ya mwaliko bwana Moses Mngodo ya kwamba shughuli hiyo ingefanyika tarehe 17 sa tisa alasiri na kinyume chake kufanyika kwa wizi sa tano na nusu asubuh. mh. Rais mstaafu alisikitishwa sana kwa kitendo hicho na alifikisha malalamiko yake kwa dean of student. na sio mh Rais peke yake bali hata Katibu Mkuu mstaafu wa serikali ya wanafunzi alipewa mualiko huo ulionesha saa tisa alasiri. nakala za hizo za barua niliziona mwenyewe kwa macho yangu kwa uthibitisho zaidi muone dean of student au mh rais mstaafu.
ReplyDelete