Friday, May 25, 2012

SHUKRANI KWA ATSA ( TZEE STUDENT IN ALGERIA) KUFANIKISHA HARUSI YANGU

Salaam za shukrani kutoka kwa ndugu  JUMA kwa wanafunzi wakitanzania waliosoma na wanaosoma nchini Algeria katika support yao ya kufanikisha Harusi yake,,, 
JUMA AHMED MKABAKULI ana haya yakusema
"Habari zenu wa ungwana, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wana-ATSA (ASSOCIATION OF TANZANIA STUDENTS IN ALGERIA) wote mlioudhuria kwenye harusi yangu na kwa msiofika kwa dua zenu njema.asanteni sana. Nilipata faraja ya hali ya juu sana nilipokuwa nanyi kwenye harusi yangu,
Kiukweli nimeyaona matunda ya undugu wa kweli wa wana-ATSA.
Mungu awazidishie kila la kheri katika maisha yenu.
Amen!"
Shekhe  JUMA AHMED MKABAKULI na mkewe katika harusi yao
Wadau waliomalinza elimu yao nchini Algeria na maswahiba wa kubwa wa Juma wakijaribu kushauri jambo katika sherehe za harusi ya Juma Mkabakuli ilioyo fanyika May 2012 jijini Dar es salaam
Timu ya wanafunzi waliosoma nchini Algeria wakiwa katika mlo wa pamoja katika harusi ya mwenzao jijini Dar es salam
Picha ya poamoja ya wadau (wanafunzi walio maliza nchin Algeria)  walioshirikiana bega kwa bega na Bw Juma Mkabakuli kufanikisha shughuli muhimu na njema.
"Blog na kwa miaba ya watanzania wote wasomao nchini Algeria tunawatakia kila la kheri wana ndoa hawa katika safari mpya ya maisha. ALL THE BEST JUMA and YOUR WIFE"

No comments:

Post a Comment