Monday, May 14, 2012

BREAKING NEWSSS,,,,, MISS & MR IFM 2012

Mashindano ya Miss & Mr IFM 2012 yaliokuwa yafanyike Jumamosi iliyopita yamehairishwa hadi Ijumaa ya wiki hii tarehe 18 may 2012 kutokana na mvua kubwa zilizo tokea siku ya mashindano hayo,
Aidha waandaaji wa mashindano hayo wanaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza na wanawakaribisha wote Ijumaa katika viwanja vya CINE CLUB, Muda na Ratiba ni kama ilivyokuwa hapo awali,,,!!
" SAMAHANI KWA USUMBUFU ULIO JITOKEZA"

1 comment:

  1. NOT THIS FRIDAY (18/05/2012) BUT BAADA YA TEST TWO

    ReplyDelete