WASICHANA WA SHULE YA SEKONDARI MANYUNYU NJOMBE WAFAIDIKA NA SEMINA YA KUTUMIA KOPYUTA NA UMUHIMU WA MFUMO WA DIGITAL
| Wasichana wa shule ya sekondari ya wasichana manyunyu mkoani njombe wakimsikiliza mwana sayansi wa masafa Peter Kihogo kutoka mamlaka ya mawasiliano kanda ya nyanda za juu kusini |
| Katibu muhtasi mamlaka ya mawasiliano kanda ya nyanda za juu kusini Frida Msese akipeana ushauri na wasichana wa shule ya sekondari manyunyu |
| Wanafuzi wakiwa makini kumsikiliza mwanasayansi wa masafa |
No comments:
Post a Comment