Saturday, May 19, 2012

MASHINDANO YA MCHEZO WA POOL KWA VYUO VIKUU IRINGA

Baadhi ya Viongozi wa mchezo wa Pool Mkoa wa Iringa wakiwa pamoja na waamasishaji wa mchezo huo katika Mkoa wa Iringa

Mchezaji wa Mchezo wa Pool chuo cha RUCO ,Alen Masebo akijitaarisha kupiga mpira wakati wa mashindano ya Vyuo vikuu vya Iringa.
Naibu Meyaq wa Mkoa wa Iringa Gervas Ndaki kulia akisalimiana na washiriki wa mchezo wa pool kabla ya kuanza kwa mashindano hayo yaliyozaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia yake ya Safari Lager
Raphael John wa chuo kikuu Tumaini Iringa akijataalisha kupiga mpira wakati wa mashindano ya pool kwa vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa Leo

No comments:

Post a Comment