Sunday, May 13, 2012

TCRA YADHAMIN WANAFUNZI 8 KUSOMA ICT KUTOKA UDSM,UDOM NA ARDHI

 Mkurugenzi wa Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma (kulia)  akimkabidhi Muhagachi Chacha,  Laptop, baada ya kupata dhamini wa kusomeshwa na TCRA Masomo ya uhandisi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) jumla ya wanafunzi Nane Jumla ya wanafunzi Nane kutoka Vyuo vya Ardhi, Dodoma na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,wamenufaika naufadhili huo  wa kusomeshwa na TCRA  hadi watakapohitimu masomo yao.
Mkurugenzi wa Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma (wa pili  kushoto) akiwaonyesha komputa baadhi ya wanafunzi waliopata ufadhili wakusoma uhandisi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT)   Jumla ya wanafunzi Nane kutoka Vyuo vya Ardhi, Dodoma na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,wamenufaika naufadhili huo  wa kusomeshwa na TCRA  hadi watakapohitimu masomo yao ya Uhandisi Teknolojia ya Habari na Mawasiliano .
Mkurugenzi wa Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma (wa Nnekutoka   kushoto) akiwa katika picha ya pamoja  na wanafunzi wa waliofanikiwa kupata ufadhiliwa Kusoma masomo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) akiwaonyesha matumiziya Kompyuta  baada ya kuwakabidhi zawadihiyo. Jumla ya wanafunzi Nane kutoka Vyuo vya Ardhi, Dodoma na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,wamenufaika naufadhili huo  wa kusomeshwa na TCRA  hadi watakapohitimu masomo yao.

No comments:

Post a Comment