Wednesday, May 16, 2012

WANAFUNZI KUSHIRIKI KAMPENI YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

Wanafunzi na wakazi wa Mabwepande nje kidogo ya la Dar es Salaam wakiwa wamebeba miti kwa ajili ya kuipanda kwenye maeneo mbalimbali, ikiwa ni kampeni ya taasisi isiyo ya kiserikaliYa upandaji miti na kutunza mazingira
Wanafunzi na wakazi wa Mabwepande nje kidogo ya la Dar es Salaam wakiwa wamebeba miti kwa ajili ya kuipanda kwenye maeneo mbalimbali, ikiwa ni kampeni ya taasisi isiyo ya kiserikali ya Fast Light Trust kupitia mradi wake wa Mount Kilimanjaro Environment Awards (MKEA). Kampeni hiyo ilizinduliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Terezya Huvisa. (Picha na Fadhili Akida).
 


No comments:

Post a Comment