Friday, May 25, 2012

FORMER NBA STAR ROLANDO BLACKMAN IN DAR.


Mchezaji nyota wa zamani wa kikapu Rolondo Blackman akiwa katika picha na Phares Magesa- Makamu wa Rais- TBF na Michael Maluwe- Katibu Msaidizi – TBF jana katika hotel ya Serena baada ya kupata chakula cha jioni na mazungumzo kuhusu maendeleo ya kikapu Tanzania.
Taarifa zaidi zitatolewa baadae mara baada ya makubaliano rasmi kufikiwa juu ya ushiriki wa nyota huyo katika programmes za maendeleo ya kikapu Tanzania.
Mchezaji huyo yuko katika ziara binafsi.

No comments:

Post a Comment