Leo asubuhi maeneo ya chuo kikuu cha Dar es salaam kitivo cha Elimu
DUCE mkabala na Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT Mgulani katika
barabara ya Chang'ombe Camera yetu imenasa tukio la kibaka
huyu ambaye amekutwa akiwa ameuwawa huku tairi likiwa linawake pembeni.
inasadikiwa alikutwa katika nyumba za jirani na eneo hilo akitaka kuiba
hivyo wananchi wenye hasira kali wakamkamata na kumpiga na kuchoma tairi
ili kumuunguza, hata hivyo haijulikani nani alimuokoa asiungue na tairi
hilo japokuwa amepoteza maisha
Wanafunzi
wakiushangaa mwili wa kibaka huyo aliyepigwa na wananchi wenye hasira na
kuuwawa wakati akitaka kuiba katika moja ya nyumba kwenye eneo hilo.Picha/Habari Kwa Hisani ya Ahmed at DUCE
No comments:
Post a Comment