Saturday, May 26, 2012

.....Atunukiwa Cheti na Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar (SUZA)baada ya Kumaliza Mafunzo ya Siku Tano ya Utayarishaji wa Vifaa Vya Kufundishia Kiswahili Kwa Wageni

MKURUGENZI wa Taasisi ya Kiswahili na lugha za Kigeni Zanzibar (TAKILUKI), Mmanga Mjengo Mjawiri (kulia) akimkabidhi cheti, Hawaa Rajab mkufunzi wa somo la kijerumani chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) baada ya kumaliza mafunzo ya siku tano ya utayarishaji wa vifaa vya kufundishia Kiswahili kwa wageni yaliyofanyika chuoni hapo Vuga mjini Zanzibar.Picha na Haroub Hussein

No comments:

Post a Comment