STELLA AGUSTINO AIBUKA KIDEDEA KWA KUNYAKUA TAJI LA REDDS MISS ILEMELA 2012
| Mshindi wa taji la miss Ilemela 2012 Stella Agustino (katikati) akiwa na mshindi wa pili Hapiness (kushoto) na mshindi wa tatu |
![]() |
| Warembo walioingia kumi bora miss Ilemela 2012. |
![]() |
| Sharowbarow President Bob junior akimalizaaaaa... |
![]() |
| Flash na sehemu ya Gold Crest Hotel. |
| Mshiriki namba 3. |
| Mshiriki namba 9. |
| Mshiriki namba 4. |
| Pichani huyu si mshiriki miss Ilemela 2012 bali ni sehemu ya Onyesho la mavazi ya Harusi toka Munira Classic. |
| Mc wa tukio Mr. G. Sengo(gsengo blog) toka Clouds Fm Mwanza. |
![]() |
Meza ya majaji chini ikitafakari muonekano wa kwanza kupitia open show ya Miss Ilemela 2012.
|
| Wadadaz wakipata flash kwa blog.... |
![]() |
| Hapa Chief Judge Muhksin Mambo toka Star Tv (nyuma ya mshiriki no 7) alipokuwa akitaja kumi bora. |
![]() |
| Ze flawaz.. |
| Kipaji toka moyoni mshiriki wa kinyang'anyiro miss Ilemela Stela akionyesha kipaji cha kucheza wimbo wa Fally Ipupa - Bakanja. |
| Mshiriki wa kinyang'anyiro cha Miss Ilemela Hapiness akichora ndani ya kuonyesha vipaji. |
| Kipaji toka moyoni mshiriki Zaifath kipaji cha kuimba. |
| Afisa Promosheni wa Nyanza Bottling Co. LTD watengenezaji wa soda jamii ya Coca cola Mr.Rutta, akimkabidhi mshindi nafsi ya 3 cheki ya shilingi laki mbili. |
| Afisa Promosheni wa Nyanza Bottling Co. LTD watengenezaji wa soda jamii ya Coca cola Mr.Rutta, akimkabidhi mshindi wa nafsi ya pili Hapiness, cheki ya shilingi laki tatu. |
| Afisa Promosheni wa Nyanza Bottling Co. LTD watengenezaji wa soda jamii ya Coca cola Mr.Rutta, akimkabidhi Miss Ilemela 2012 Stella Agustino, cheki ya shilingi laki tano. |







No comments:
Post a Comment