Wednesday, May 9, 2012

LIVERPOOL YAFUTA MATUMAINI YA CHELSEAWakilipiza kisasi kwa Chealse ilowafunga na kutwaa FA Cup jumamosi, Liverpool jana imefuta kabisa ndoto ya Chelsea kumaliza ligi ikiwa miongoni mwa timu nne na kufuzu moja kwa moja kucheza UEFA mwakani, baada ya kuwa tandika bao 4-1.
Hivyo ili Chelsea ishiriki tena UEFA ni lazima kushinda mchezo wa fainali dhidi ya Bayern Munich tarehe 19 mei, utakaochezwa uwanja wa nyumbani kwa Bayern Munich ‘Alliaz Arena’ mjini Munich.

No comments:

Post a Comment