Wednesday, May 23, 2012

TASWIRA YA MAJENGO PACHA YA UDOM

Taswira la jengo la ofisi ya kitivo cha sayansi ya jamii cha chuo kikuu cha dodoma
Majengo Pacha ya Madarasa.Chuo Kikuu cha Dodoma Kina majengo mengi pacha kama hostel lakini haya ni baadhi ya majengo pacha ya madarasa ya Kitivo cha Sayansi ya Jamii.(La Kwanza Kushoto ni Theater one na la kwanza kulia ni Theater two)
Zahanati ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Kama Inavyoonekana Katika Picha
Haya nayo Ni Majengo pacha kama kawaida.Hizi ni Hostel za Kitivo cha Sayansi ya Jamii Cha Chuo Kikuu cha Dodoma

1 comment: