Tuesday, May 8, 2012

VIJANA WA UDOM WAKIPITIA HABARI MAGAZETIN

Ndugu zetu na marafiki zetu wa UDOM walitukumbuka na kushirikiana nasi hii ni story yao ya leo,,, 

"Ni katabia kalicho enenea  katika vyuoo vingi hapa nchini na hasa katika chuo chetu huku Dodoma, as you know chuo chetu kipo mbali sana na Dodoma mjini so kwenda kujiachia au kuzurula na kufanya shughuli za hapa na pale huwa ni kazi kidogo maranyingi tumekuwa tukijiachia na vichwa vya magazeti mfano leo tulikuwa tunabishana na Habari ya Mkapa kuwekwa kortin Kisutu jana ila kwakweli hakuna cha maana kinacho patikana baada ya huu ubishi kila mmoja huchukua chake nakuelekea class. Leo nilitaka kuku habarisha tuu hali ya huku kwetu Udom pengine kesho nitakutembelea tena nikupe habari mpya kaka, ni mimi reporter wako at Udom"
Wanafunzi wa Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa wanapitia vichwa vya Habari katika Baadhi ya Magazeti ya leo.
Haya sasa Muda wa Kubishana ulipoanza Juu ya Mada ambayo imetawala Vichwa Vya Magazeti 

No comments:

Post a Comment