Thursday, May 17, 2012

TCRA YATOA MAFUNZO YA UMUHIMU WA COMPUTER NA MFUMO WA DIGTAL

TCRA YATOA MAFUNZO JUU YA UMUHIMU WA KUTUMIA KOMPYUTA NA MFUMO WA DIGITALI

Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya mawasiliano Tanzania Prof, John Nkoma akizungumza na waandishi wa habari  leo hii jijini Dar es Salaam kwenye Semina inayoambatana na Sherehe ya  siku ya mawasiliano Duniani. ambapo amewataka watanzania kuelewa umuhimu wa mawasiliano ya mtandao

Mwanafunzi wa shule ya Msingi  Mapinduzi Zuwena Muddy, akitoa mafunzo ya namna ya kutumia Computer  kwa wadau waliohudhuria kwenye semina hiyo.

Mwanafunzi Jackson Joseph kutoka shule ya Msingi  Mapinduzi jijini Dar es Salaam manispaa ya Ilala, akihojiwa na waandishi wa habari juu ya faida ya matumizi  ya Computer.

Mwanafunzi Zuwena Muddy akisisitiza jambo katika mafunzo hayo kwenye warsha hiyo

No comments:

Post a Comment