Thursday, May 24, 2012

WANAFUNZI WA UDOM KICHEKOOOOOO,,,!!!

WANAFUNZI UDOM WAANZA KUCHEKA MARA BAADA YA MAJINA YA MKOPO KUTOKA

Wanafunzi wa UDOM wakiwa Makini kuangalia majina yao kwaajili ya kuanza zoezi la kusaini na kupewa pesa zao za kujikimu  baada ya msoto wa zaidi ya wiki tatu huku hali ikiwa mbaya chuoni hapa.Wanafunzi hao wameonekana kuwa na furaha na matumaini ya kupata pesa zao kutokana na kukaa zaidi ya wiki tatu bila kupata pesa zao  na kupelekea wanafunzi hao kuwa na maisha magumu.

KWA HISANI YA LUKAZA BLOG

No comments:

Post a Comment