Sunday, May 20, 2012

IFM WATWAA UBINGWA WA SINGLES UPANDE WA WANAWAKE KTK FINAL ZA POOL 2012

MODESTER DAVID KUTOKA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) ATWAAUBINGWA WA SINGLES UPANDE WA WANAWAKE JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA KATIKA FAINAL ZA MASHINDANO YA POOL TABLE KWA VYUO VIKUU ,,,,!!

Mwanafunzi kutoka chuo cha usimamizi wa Fedha (IFM), Modester David akicheza dhidi ya mpinzani wake Lilian Meoni hayupo pichani wakati wa fainali za mashindano ya Safari Pool Higher Learning Mkoa wa Dar es Salaam


No comments:

Post a Comment