Sunday, May 13, 2012

MASHINDANO YA MCHEZO WA POOL KWA VYUO VYA DODOMA UNAENDELE‏

Mchezaji wa chuo cha UDOM Morgan Asanta akijaribu kupiga mpira
Mchezaji wa Chuo Kikuub cha UDOM ,Justine Oresther akipiga mpira wakati wa mashindano ya mchezo wa pool kwa vyuo vikuu vya Dodoma michezo hiyo inadhaminiwa na Kampuni ya bia Tanzania kupitia bia yake ya Safari Lager inaendelea
Mchezaji wa chuo cha Maendeleo ya Vijiji 'MIPANGO' Ibrahimu Juma akijitaalisha kupiga mpira wakati wa mashindano ya mchezo wa Pool yanayodhaminiwa na SAFARI lAGER
Refa wa mchezo akiwapatia maelezo wachezaji kabla ya mchezo
Baadhi ya washabiki na wana vyuo Vikuu vya Dodoma wakifatilia mchezo wa pool leo

No comments:

Post a Comment