Monday, May 14, 2012

BONANZA LA UFUNGUZI WA MASHINDANO YA EXCEL 2012 IRINGA

http://4.bp.blogspot.com/-yTirPuvI7TI/T7AStT9f7_I/AAAAAAACtFM/ZwWED1Wnudk/s1600/IMG_4040.jpg
Wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali mjini Iringa wakitazama shoo ya kufungua mashindano ya EXCEL mijin Iringa
http://4.bp.blogspot.com/-S2gctX69r4Q/T7ARjOAzDoI/AAAAAAACtDs/y9wWw3ZdIfs/s1600/IMG_4248.jpg
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joh Makini akitoa shoo kali kwa wanafunzi wa vyuo vitatu vya elimu ya juu vya mkoani Iringa (Tumaini,Mkwawa na Ruaha),waliofika kwenye Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,lililofanyika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya jana
http://4.bp.blogspot.com/-WcTHdXqj9aw/T7ASimZub5I/AAAAAAACtFE/qJTP8sjXfm8/s1600/IMG_4050.jpg
Mratibu wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,Bw. Victor (kulia) amkaribisha Muwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,Masumbuko Changwe kuzungumza na Wanafunzi hao kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya jana.
http://3.bp.blogspot.com/-6drnSmSPnq8/T7ASZdAz8HI/AAAAAAACtEw/ctr4pY5Wrms/s1600/IMG_4052.jpg
Muwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,Masumbuko Changwe akizungumza na Washiriki wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya jana
http://4.bp.blogspot.com/-2J_CYxkscQw/T7ARtFxUFNI/AAAAAAACtD8/G2Dk8ubzCQ0/s1600/IMG_4183.JPG
Wachezaji wa Timu ya Chuo Kikuu cha Mkwawa Mkoani Iringa,Wakishangilia ushindi wao Pamoja na Muwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,Masumbuko Changwe (wa pili kulia mwenye fulana ya rangi ya chungwa) wakati wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,uliofanyika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya jana

http://2.bp.blogspot.com/-6krHQHubeTE/T7ARoe4zIBI/AAAAAAACtD0/s9ayaX1mKSk/s1600/IMG_4260.jpg
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joh Makini akiendelea kukamua kwenye Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,lililofanyika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya jana

http://4.bp.blogspot.com/-9Htmqxge3dc/T7AR5r0eA1I/AAAAAAACtEM/MrbKV9p-DY0/s1600/IMG_4152.jpg 
http://4.bp.blogspot.com/-x4lp-bbaQbI/T7ASPcbYg2I/AAAAAAACtEc/Tfydu0cBEew/s1600/IMG_4108.jpg
 Muwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,Masumbuko Changwe (kulia) akikabidhi zawadi mbali mbali kwa washindi walioshiriki Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya jana 

No comments:

Post a Comment