Pichani
Juu na Chini ni wanafunzi wa mashule mbalimbali wakionyesha ufundi kuwa
ku-dance wakati wa tamasha lililopewa jina la ‘Inter-School Concert’.
“Akudundu-kudundu-kudundu- Alajhi-Alajhi”.
“Yeyoooooo” baadhi ya wanafunzi waliohudhuria tamasha hilo wakikubali kilichokuwa kikifanyika jukwaani.
Mshereheshaji wa tamasha hilo
‘MC T-Bway 360 akimtambulisha Mhariri wa mtandao unaoaminika wa habari
hapa nchini MO BLOG kwa ajili ya kukabidhi zawadi za T-Shirt zenye chata
ya mtandao huo ambao ulikuwa ni moja ya wadau waliosaidia kufanikisha
tamasha hilo.
Mhariri
wa MO BLOG akitoa changamoto kwa wanafunzi walioshiriki tamasha la
‘Inter-School Concert lililofanyika katika ukumbi wa Shule ya Kimataifa
ya ESACS.
Wanafunzi walioshinda katika ku-shake-shake kwenye tamasha hilo waki-shine na T-Shirt za MO BLOG.
Wanafunzi
wataalam wa kurap(kulia na kushoto) wakioneshana makali huku
mshereheshaji wa tamasha hilo la ‘TOK-ELEZEIYER akiwa haamini vipaji
walivyonavyo.
Moja ya uchezaji wa muziki inayojulikana kama ‘Dogue Style’.
Mmoja wa wanafunzi hao akionyesha staili ya ‘I belive I can fly’.
‘Wacko Jacko is Still Alive’.
‘Duh…pamoja na masomo hizi pia twazijua’
Wanafunzi
wakipagawa wakati wa tamasha hilo lililoandaliwa kiutaam na kufanikisha
malengo yake kuwakutanisha wanafunzi wa shule mbali mbali jijini.
Wasanii wa Bongo Flava Country Boy (kulia) na Stamina wakitoa Burudani kwa wanafunzi.
“Ama kweli tamasha hili limetunufaisha” ndivyo wanavyoonekana kusema wa-denti waliohudhuria.
No comments:
Post a Comment