Friday, May 25, 2012

KITUKO EXCLUSIVE !!! MAMA NA MTOTO,,!


 Mtoto: Mama hivi binadamu walitoka wapi?

Mama: Mungu alimuumba Adam na Hawa wakazaa watoto wakaujaza ulimwengu. Baba aliporudi zake toka kwenye kilevi.

Mtoto: Baba hivi binadamu walitoka wapi?

Baba: Binadamu wametokana na nyani, miaka ikapita wakawa binadamu. Mtoto akarudi kwa mama yake,

Mtoto: Mama we ulisema binadamu wameumbwa na Mungu, baba kasema binadamu wametokana na nyani inakuwaje?

Mama: Kila mtu kaongelea chanzo cha ukoo wake.

No comments:

Post a Comment