Wednesday, May 9, 2012

FURAHAA YA MATOKEO YA UCHAGUZI WA IFM-SO KATIKA PICHA

Usiku wa jumatatu ya tarehe 7 may 2012 ulikuwa ni waaina yake katika viunga vya chuo cha IFM, baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi na Michael Charlse kutangazwa kuwa mshindi wa Urais na makamu wake ni Mangesho, Hali iliyo wafanya wanafunzi wachuoni hapo kupiga kelele za nderemo na vifijo usiku kuchwa bila kuchoka.Hii ni baadhi tuu ya picha za matukio ya furaha na la kihishoria katika viwanja vya IFM;

           MICHAEL(kulia) NA MANGESHO(kushoto) IFM-SO LEADERS ''Its not yet over guys thanx for your support, FRIDAY LETS CONTINUE WITH THE REVOLUTION
Matokeo ya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi IFM-SO round ya kwanza uliofanyika jumatatu may 7 mwaka huu katika chuo cha biashara IFM yalitangazwa na reporter wenu anatuhabarisha zaidi,,,,

KITOP,at ifm
"Hayawi hayawi  sasa ya mekuwa,hatimaye primary election ya kamilika  na matokeo ya metoka kutangazwa usiku huu wa saa sita katika viunga vya IFM, kiukweli katika viunga kelele za shamra vifijo na nderemo kutoka kwa wadauu wa ndugu MICHAEL CHARLES na wapinzani wao wa karibu crew la ndugu EMMANUEL KALINDAGA walikuwa wakishangilia kwa furaha sana hata hivyo kwa upande mwingine wa wagombea waliotolewa hali ilikuwa tofaut kidogo kwani walikuwa ni wenye huzuni sanaa.  Niliongea na wadau wawili watatu wa waliotolewa kwenye kinyan'ganyiro hicho na wakadai kuwa katika ushindani lazima apatikane mshindi na hivo wao wametolewa ili mshindi aweze kupatikana kwani bila wao rais asingepatikana.
Ndugu Michael Charles alimuacha mpinzani wake wa karibu kwa kura nyingi sana kura zipatazo takribani 300,"
 Furaha ya matokeo ya uchaguzi wa wanafunzi IFM-SO katika picha

Usiku wa matokeo ya uchaguzi IFM
Vijana wakikata viuno na kuburudisha wenzao baada ya kutangazwa kwa ushindi wa Michael Charlse
Mwanadada wa IFM akikata mauno kwafuraha baada ya kutangazwa kwa ushindi wa MICHAEL na MANGESHO
Kama tulivyukuwa tukiwaeleza Rais Michael ana support kubwa ya kinadada hawa nibaadhi ya wadau wakiwa na sherekea ushindi wa Michael na Mangesho usiku wa jumatatu wiki hii baada ya matokeo ya uchaguzi wa IFM-SO
Baadhi ya wanafunzi wakimpongeza Michael Charles baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi wa serikali ya wanafunzi ya IFM-SO uliofanyika jumatatu tarehe 7 may 2012
Wanafunzi wa IFM wakitoa pongezi kwabaadhi ya washindi wa uchaguzi uliofanyika jumatatu may 7 mwaka huu
Michael Charles akiwa amebebwa juuu na mmoja wa mashabiki wake wakaribu mara baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa IFM-SO
Wanadada wakionyesha uwezo wao wakucheza mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi IFM usiku wa jumaatatu
Wadau wengine wa viongozi walioshindwa hawa kuwa wenye furaha sana, ila walijitahidi kutazama kama wapo kwenye shoooooooooooooooooooooo
Mdau wakaribu sana wa Michael akiwa mwenye furaha sana na kuimba huku ana piga makofi

Big dadaz in poz katika sherehe za ushindi wa Michael na Mangesho

Hadi wenye ushungi pia hawakua nyuma kuonyessha furaha zao kwa Ushindi huu mkubwa
IFM  girls wakifurahia ushindi wa Michael na Mangesho

Dada akiwa kwenye swagaaa,,,,, baada ya ushindi usiku wa ushindi wa Michael na Mangesho
Mdau kamaliza kazi yake ya kupiga kampeni na kushangilia ushindi wa Michael na sasa anaelekea kunako block c kupumzika kidogo,,,, kaka hongera na kazi nzuri,,,,


Usiku wa jumatatu ulikuwa ni waaina yake katika viunga vya chuo cha IFM, baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi na Michael Charlse kutangazwa kuwa mshindi wa Urais na makamu wake ni Mangesho, Hali iliyo wafanya wanafunzi wachuoni hapo kutoa kelele za nderemo na vifijo usiku kuchwa bila kuchoka. Picha zote na KITOP,at ifm1 comment:

  1. hahahahahaaa ongereni vijana wangu, sasa ijumaa fanyeni kweli ili kijana abaki madalakani.

    ReplyDelete