Saturday, May 5, 2012

TANZANIANS IN JAPAN MADE THE WALK FOR CHARITY IN YOKOHAMA

Tanzanians  under the charitable walks that are organized by the city of Yokohama
Tanzania embassy officials in Japan has been accompanied by students and Tanzanians who living in Japan, led the walks of the generosity of the city of Yokohama as one of promoting friendship between the city and Tanzania
This is the first time in Tanzania and even African countries to participate in these walks that have been occurring every year. Thus, by maintaining a culture of Tanzania. The peace, love and solidarity worldwide then Tanzanians living there decided to participate fully in these walks.

Aidha katika siku za usoni jiji la Yokohama linampango wakuanzisha uhusiano ( Sistercity Friendship) wa moja ya miji ya Tanzania, uhusiano ambao utadumisha upandaji wa miti aina ya Cherry blossom katika mji utakaochaguliwa.
Pia Japani imekuwa na uhusiano mzuri wa kuisaidia Tanzania kielimu kwa kutoa schoolarship za kwenda kusoma masomo ya elimu ya juu kwa vitizo tofauti tofauti. Mmoja wa wanafunzi aliokuepo huko anasema
"Tunapaswa kuishukuru sana Japan tena kushirikiaana nao vyema kwani wamekuwa wakarimu kwetu na kutujali kama raia wao katika kipindi chote cha masomo, hakuna tofauti ya mjapani na mtanzania tukiwa class, nandio maana sisi wote leo mnatuona tunashiriki matembezi haya"
Aidha wanafunzi hao walikuwa nakisisitiza wanafunzi wengine kutoka Tanzania wafanye jitiwada zakutafuta schoolarship na waendekusoma huko huyu reporter wetu,,,,
"Wanafunzi wa kisisitiza kuwa elimu wanayo ipata Japani ni bora na nimchango mkubwa kwa Taifa watakapo rejea nyumbani na hivyo wanapenda kuwasisitiza ndugu na marafiki wanafunzi wakitanzania kujiunga nao huko Japan, akiendelea kusisitiza mmoja wa wanafunzi hao alisema Elimu huku haitolewi kwa kijapan tuu, kuna vyuo vyakingereza kwahiyo msiogopeshwe na lugha kwani pia ni rahisi kuliko hata kusoma ABC,,,, aliendelea kusisiitiza  kwa kusema , Schoolarship za kuja huku zipo nyingi mno unachotakiwa kufanya ni kuongeza juhudi zakuzitafuta, Tunapenda kuwakaribisha watanzania mjiunge nasi katika kutafuta elimu yenye ubora kwa mafanikio ya nchi yetu' alimalizia hivyo,"

Matembezi hayo ya liadhishwa mwaka 1953 hwalengo lakuhamasisha jitihada za kufufua uchumi na utalii katuka mji wa Yokohama kufuatia uharibifu uliotokana na vita kuu ya pili ya dunia.

No comments:

Post a Comment