Saturday, May 5, 2012

Miss Ustawi wa Jamii 2012, Hilda Edward

 
Miss Ustawi wa Jamii 2012, Hilda Edward (katikati) akiwapungia mikono mashabiki wake baada ya kutwaa taji hilo sambamba na mshindi wa pili Nancy Maganga (kushoto) na mshindi wa tatu, Ndenisia Mbowe.

 
Baadhi ya washiriki waliofanikiwa kutinga hatua ya tano bora wakiwa katika pozi la pamoja.

 
 Hilda Edward, akiwa ameshikilia zawadi ya laptop muda mfupi baada ya kukabidhiwa.… 
Mwanamuziki, Dully Sykes akitumbuiza kwenye kinyang’anyiro hicho.
 
Baadhi ya mashabiki wakiserebuka wakati wa makamuzi hayo ndani ya ukumbi huo.
Miss Ustawi wa Jamii usiku wa kuamkia leo ilifana vilivyo ndani ya Ukumbi wa New Maisha Club, ambapo Hilda Edward alifanikiwa kuibuka na taji hilo huku Nancy Maganga akimfuatia kwenye nafasi ya pili na Ndenisia Mbowe alichukua nafasi ya tatu.
Mshindi wa kwanza alizawadia kompyuta mpakato ‘laptop’, mshindi wa pili alipewa shilingi 300,000 na mshindi wa tatu 200,000 huku mshindi wa nne akiambulia kifuta jasho cha shilingi 100,000. Washiriki waliobakia walipewa

No comments:

Post a Comment