Saturday, May 5, 2012

Uhandsome unampa urais CHARLES MICHAEL, IFM

Huyu ndie mgombea urais mwenye supporters wengi wasichana chuoni hapa wanaoonyesha dalili za kumpa ushindi, sababu ya msingi ya Bw.MICHAEL kuwapita wenzake sio sera tuu ni pamoja nakuwa "Handsome" reporter wetu ana haya ya kusema
Reporter KITOP, at ifm
"Ikiwa ni wikend ya kampeni chuoni hapa watu wamekuwa wakiendeleza kampeni kwa kasi kubwa na dalili zikionyesha Bwana MICHEL akiwa na wafuasi wengi hasa wasichana ambao wamekuwa wakisema sababu kubwa zakumkubali na kumpa kura zao Michel ni pamoja na Uhandsome wake, 
Aidha vijana wa IFM wikend hii imewaendea uzuri baada ya bodi ya mkopo kuwakumbuka na kuwatumia mavumba ya awamu ya mwisho kwani hali ilikuwa mbaya sana chuoni hapa, ivyo wikend hii watu wamekuwa wakichukua mahela na kujiachia vitengo tofauti tofaut kutumia huku wakijadili nani atakuwa raisi wao baada ya uchaguzi hapo Jumatatu"
 Campaigns zikiendelea katika viwanja vya ifm wikend hii,,,,
katika viwanja vya ifm usiku wa ijumaa wadada wakifuatilia kwa makini  sera za mgombea urais
Baadhi ya  wagombea wa serikali ya wanafunzi ifm
show some love while we make campaigns, nimmoja wa wagombea urais ifm

written by KITOP, at ifm

1 comment:

  1. MANGESHO AND MICHAEL MNATISHA KWA SERA

    ReplyDelete