Wednesday, May 2, 2012

IFM’s ELECTION CAMPAIGNS 2012

jack, repoter ifm
IFM students are now on their campaigns seeking new leaders of the student’s government for the year 2012/2013, This year many  girls have joined the race by competing in different posts including the sensitive posts like that of the President, Prime Minister and Minister of education. Girls have also emerged to contest these positions with many supporters and this gives the signs that this year the institute will be led with by girls after the election. The hustle and bustle of campaigns at the campus is still growing up and some candidates were seen passing in different classrooms with their supporters conducting campaigns while giving words of wisdom and much influence to other students.
Aidha harakati hizo za kampeni za uchaguzi zikiendelea Mgombea uraisi JEREMIAH MAYENGA mwaka wa pili banking ndie anayeonyesha kuwa na wafuasi wengi zaidi kuliko wengine na hiyo nikutokana tu na kuwa na sera nzuri zinazowavutia wana IFM. Jeremiah amekuwa akiambatana ma makamu wake wa urais ambaye pia amekua na supporters wengi wanao onyesha dalili ya kumpa ushindi.
Picha za wagombea mbalimbali  katika harakati zakutafuta kura,,,, 
Motto:
"IT IS POSSIBLE TO MAKE OUR LIVES  BTTER AT IFM"
hii na kauli mbiu ya Emmanuel Hezron mgombea urais, na makamu wake ni dada Isdora Mboya
Wapambe wa Emanuel Hezron
Kampeni zinaendelaa chuoni hapo na wagombea wanapita kila darasa kutoaa sera zao, hali nikama hiii,,,
pichani kushoto niwapambe na suppoters wa mgombea urais Emmanuel Hezron, wakiwa na matangazo ya kumpigia kampani ,
Madarasani hali nikama hivi,,,, VIJANA WANA HARAKATI
mgombea makamu wa rais Isdora Mboya

2 comments:

  1. kiukweli,hapa chuoni kuna ushindani sana,kwani wagombea wote wanashabiiana kwa sera na malengo yao.ifm daima.

    ReplyDelete
  2. yah kiukweli uchaguzi huu unachangamoto nyingi sana kila mwanachuo ameshuhudia hilo naomba wanafunzi wenzangu tujiangalie sana katika kuchagua kiongozi bora na si bora kiongozi

    ReplyDelete