Thursday, May 10, 2012

WARAKA WA MAVAZI WATUA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)

Waraka wa mavazi kwa wanafunzi umetangazwa rasm katika chuo kikuu Dodoma,
kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu ikiwa ni pamoja na kuvaa mavazi ya sio na  heshima hasa kwa upande wa wasichana mkuu wachuo hicho hakuwa nabudi ya kutangaza waraka huu.
Hiki ni chuo cha tatu kutangaza waraka wa mavazi chuoni na kupunguza uhuru kwa wanafunzi kuvaa vazi lolote katika maeneo ya chuo,
Chuo cha kwanza kutangaza waraka wa mavazi ni chuo cha biashara CBE na kilichofuatia ni SAUT Mwanza, 
Hata hivyo walimu pamoja na wanafunzi wamepokea uzuri waraka huu ikiwa niishara yakuwa utatekelezwa bila kipingamizi chochote
Mwanafunzi antakaye kutwa na vazi lisilo na heshima kwamaana atakuwa amekiuka waraka huu atachukuliwa hatua zakinidhamu ikiwa ni kusimamishwa chuo kwa miezi tisa au mwaka mmoja.



1 comment:

  1. hiyo ndo sawa coz misingi imevunjika kabisa,watu hawamuogopi mungu.

    ReplyDelete