Sunday, May 6, 2012

SIMBAAAA OYEEEEEE,,,,,!!!!! SIMBA 5 YANGA 0

SIMBA YAFURAHIA UBINGWA WAO KWA KUWACHAPA YANGA MAGOLI 5 KWA 0 KWENYE MCHEZO WA LIGI KUU YA VODACOM

 
 Wachezaji wa Simba wakishangilia na Kombe mara baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom iliyomalizika jana Uwanja wa Taifa dhidi ya watani wao wa jadi Yanga.Simba ilishinda 5-0.


 Wachezaji wa Simba wakishangilia na Kombe


 Mashabiki wa Simba wakishangilia kwa namna yake

Hivi ndivyo uwanja wa Taifa ulivyo furika Leo


 Wachezaji wa Simba wakitembea mithili ya Simba mara baada ya kuwafunga watani wao wa jadi Yanga wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliochezwa  kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana.Simba ilishinda 5-0.Mbele ni Mchezaji wa timu hiyo, Uhuru Selemani na motto wake


 Wachezaji wa Simba wakishangilia


 Waziri wa Habari akimkabidhi Kombe nahodha wa Simba Juma Kaseja mara baada ya kutwaa Ubingwa  timu ya SimbaMwanachama Mkubwa wa Simba Gadner Dibibi akiwa na mwanachama mwenzake Neshno muda huu wakionesha idadi ya magoli leo.(Picha na Ahmad )


Mashabiki wakishangilia kwa mbwembwe

No comments:

Post a Comment