Thursday, May 3, 2012

SIASA YA CCM NA CHADEMA YAINGILIA UCHAGUZI WA IFM

 USIKU HUU HALI IPO HIVI IFM
Usiku wa Alhamis ya tarehe 3 may 2012,  katika kinyang'anyiro cha kufanya kampeni baada ya  rais anaemaliza muda wake Mh. MOSES MGODO kuona mabaya yake yana wekwa wazi na baadhi ya wagombea aamua kuanzisha kampeni za kimya kimya chini kwa chini na kushinikiza mmoja wa watu wake wakaribu kuwa ndie kiongozi anaye faa ili atetee maslahi yake habari kamili na repoter wetu,,,,,,

"Kweli viumbe wamepania kuiteka hii nchi ya IFM, hivi punde muda mchache uliopita presidaa wa serikali inayomaliza muda wake mheshimiwa MOSES MGODO afumwa akiwa na wanachama wa mmoja wa wagombea wa nafasi ya urais maeneo ya baa moja maarufu sana kwa jina la NBC CLUB, hii ni baa maarufu sana na inatumiwa sana na wanachuo wa IFM, 
Presidaa huyo alikuwa akiendesha kikao ili kuhakikisha bwana EMAUEL KALINDAGA anakuwa presidaa, kwa habari nilizozipata chini ya kapet zinasema mheshimiwa MGODO ameamua kumpa kampani ndugu KALIDAGA kutokana nasababu kuwa huyo mgombea alikuwepo kwenye serikali yake iliyopita hivyo anajaribu kuwashawishi watu wampigie kura bwana  KALINDAGA , hata hivyo siasa imechukua nafasi yake katika uchaguzi huu kwani kumekuwa na makundi mawili tofaut ya vyama viwii vikubwa hapa nchini TANZANIA yaani CCM na CHADEMA, ndugu MGODO anadai mgombea CHARLES ni mfuasi wa CCM hivyo hapaswi kupigiwa kura, aidha mheshimiwa huyo alidai kuwa ndugu MICHAEL ni mtu aliyetaarishwa na management ya chuo kukiongoza chuo, hata hivyo wadau waliokuwa karibu na eneo la tukio wanadai MHESHIMIWA MGODO ameongea hivyo kutokana na wasiwasi mkubwa alokuwa nao juu ya MICHAEL CHARLES ambaye ametokea kupendwa sana na watu hasa mabinti, si hatujui tunawaachia wapiga kura hiyo siku ya jumatatu kwenye uchaguzi wa raundi ya kwanza".
written by KITOP,at ifm.
 

2 comments:

  1. SI KUPENDWA NA WASICHANA 2 HATA MA MEN TWAMKUBALI ANA SERA ZA KUELEKA NA MANGESHO NI JEMBE KWA KUGUNDUA UBADHIRIFU WA KAMA 23 MILIONI ZA IFM-SO ALUTA CONTINUA KAZENI MAJEMBE...............................................................

    ReplyDelete
  2. KWA TAARIFA ZA CHINI YA KAPETI KUNA TAARIFA ZA KUMCHAFUA MICHAEL NA MANGESHO KWA KUBANDIKA WARAKA UNAOONYESHA KWAMBA WANATOA TAARIFA ZA UONGO KUHUSU SERIKALI TUNAANZA KUAMINI NI UKWELI KUNA UBADHIRIFU MKUBWA UMEFANYIKA NA WANAFUNZI WANAPATA HELA NYINGI ZA KUFURU KWENYE KAMPEN KAMA C FEDHA ZA WANAFUNZI KILA LA HERI KINA MICHAEL CHARLES NA BWANA MANGESHO RODRIGES

    ReplyDelete