Thursday, May 3, 2012

IFM's ELECTION CAMPAGINS

They say and show who the want,
Melda, at IFM
IFM wadau wakipiga kampeni, what is so funny here is people at night tunafanya kampeni in couples,,! But all in all ujumbe una wafikia wapiga kura wetu,
Mdau akiwa ana piga kampeni katika korido za block D hapa IFM

Kampeni zikiendelea IFM, block D, Mgombea urais akisikiliza matatizo ya wanafunzi  nakutoa ufafanuzi atakavyo yakabili wakimpa  kura zao
Katika chumba cha wa dada wengine wakiwa wamelala na wengine wakimsikiliza mgombea urais, Kampeni zinafanyika usiku na mchana hapa IFM,

No comments:

Post a Comment