![]() |
| Ankal, hata sisi huku Nizhyn Novgorod, nchini Urusi tunamuunga mkona braz Jakaya K. kwa kufanya mazoezi |
![]() |
| Timu ya mpira wa miguu ya wanafunzi wakitanzania wasomao nchini Urusi |
![]() |
| Kabla ya kuanza mechi ya urafiki na kama mojawapo ya mazoezi na timu ya wanafunzi kirusi, matokeo ya mechi hii yalikuwa ni 0-0. |



No comments:
Post a Comment