Monday, June 4, 2012

KUMBE ADHABU HII KWA WANAFUNZI WA SECONDARY BADO IPO

Hawa ni wanafunzi wa shule ya sekondari ya Viwandani wakiwa wamepewa adhabu kwa makosa tofauti tofauti na Mwalimu wao wakati nikiwa nimetembelea shule hiyo mchana wa leo.Shule ya Viwandani ipo katika manispaa ya Dodoma.

No comments:

Post a Comment