Friday, June 8, 2012

WASICHANA WAVYUO VIKUU KUACHA SEHEMU ZAO MUHIMU WAZI SABABU NI NINI???

Avatar of gambizo
gambizo
MI HUWA NAJIULIZA TOKA SIKU NYIGI SANA NI KWA NINI WANAWAKE WANAPENDA ZAIDI SEHEMU ZAO KUONEKANA HUWA WANAFURAHIA NINI IKIWA HIVYO WAKATI MWINGINE BILA HATA SABABU MAALUM HEBU NISAIDIENI HAPA ESPECIALLY WADADA

Avatar of gambizo
gambizo
Labda ni fasheni au ni usisterdu lakini hata watu wazima wanapenda pia kukaa wazi, what is the secret behind?

Avatar of klbboy
klbboy
Modernization imechukua mkondo wake! Duniani kote sasa wanawake walio wengi hawapendi kujisitiri, labda wao wangetuambia hasa kinachowafanya wajiache wazi ni nini? Wanaume tukisema watasema tunawaonea!

Avatar of elinipa mziray
elinipa
Hiyo ni hulka ya watu, majority of women pia wanapenda kuonekana hawajapitwa na wakati, binafsi huwa niko neutral, sivai kilokole sana wala sikai uchi saaana! Nikishaona sasa nimeridhika natulia

Avatar of Rwahila
Rwahila
Mimi binafsi sifurahishwi na hawa kina mama/dada wanavyoacha wazi sehemu za miili yao tena maeneo nyeti!wengine wamegeuza magari yao kama sehemu ya nguo zao, maana ukufanikiwa kumuona akiwa kwenye gar ni aibu tupu! Nadhani wanawake wenyewe wajitambue na kuelimishana! hata kama ni fasion/mordenization, hakuna za kustili mwili? Pia vijana wakiume jinsi wanavyovaa suruali au kaptula…. nyingi ni nyembamba, zinawabana,wanaziita ‘model”! wanazishusha mpaka chini ya makalio kiasi kwamba akiinama au kuinua mikono utaona mfereji wa ikweta au nguo zao za ndani (ambazo za wengi wao ni chafu!
Kuiga ni kubaya ndugu zangu…! Nguo wanazovaa kwenye show za muziki au ufukweni sisi ndio tunavaa mitaani, hii si sawa….!kila kitu kila mahala na wakati wake! maumbile yao ni tofauti na yenu, Pia mazingira yao ni tofauti na ya hapa kwetu!
CHONDE CHONDE TUBADILIKE!
Avatar of anzile
anzile
Wanaona sifa, wanakera kweli kweli

Avatar of zahoro
zahoro
Wanatafuta wanaume
Avatar of Bro Hamisi
hamisi
Ni kujidhalilisha tu kwa mwanamke kuacha sehemu nyeti wazi kwa mfano nilikuwa kwenye daladala kuna dada mmoja alikuwa amevaa suluali ambayo ameishusha chini mpaka sehemu kubwa ya makalio yake ilikuwa wazi. KIbaya zaidi yule dada katika mfereji wa kuelekea katika makalio yake inaonyesha aidha alifanyiwa upasuaji au alipata ajali maana maana ilikuwa inaonyesha kovu la mshono, sasa hapo kila mtu aliuona na sio rahisi kuonekana lakini kutokana na mavazi yake ndio yaliyosababisha kuonekana maana hata chupi aliyokuwa amevaa ilikuwa imeshuka sana chini na chupi zao za mikanda hizi huwa hazifichi sehemu nyeti. Yani ilikuwa balaa tupu.





Sadat kachwamba
Hili ni tatizo la kuiga Utamaduni wa watu bila kujua athari zake tunaitaji kutoa elimu sana kwa dada zetu kulitambua hili.Kwamba ni tatizo kubwa ,mme mwenye akili timamu awezi kum
ruhusu mkewe atembee uchi ila vimada ndo wapo kama bidhaa dukani


Khamis Ame
Hivi inakuwaje kwa binadamu ambaye ameoa au ameolewa halafu bado anakuwa na nyumba ndogo na vimada pembeni inasababishwa na nini? Nisaidien wadau wdnzangu


Somangiza
Wapo wanaoona ni vema kwani wanaacha maeneo muhimu ili uvutike wakunase bt wapo ambao wanaona ni sehemu ya maisha.


Mtoro
Mi naona hao wapo kibiashara zaid na siku zote biashara matangazo xo wakifunika wanunuzi wataonaje?





nyamonde
ACHENI UJINGA NYIE MNAOWASAPORT HAO MACHANGUDOA,WEWE KAMA UNAPENDA KUKAA UCHI NENDA KAKAE UCHI MBELE YA BABA YAKO SIO KUSAPOTI TU UPUMBAVU HUMU, HIVI MAMA YAKO AKIKAA MTUPU MBELE YA WATU UTAJISIKIA VIZURI? HAYO SIO MAENDELEO ILA NI UKOSEFU WA NIDHAMU KUANZIA KWA BINADAMU WENZAKO HADI KWA MUNGU!! UMESIKIA WEWE MASE ACHA USHETANI !!!!!


g56
Kwa kuwacha sehemu zao wazi sioni kama kuna ubaya,,,,, play wise with that looks. For those who read ‘forbes list 100′ they got wat i mean :)

No comments:

Post a Comment