Monday, June 4, 2012

TASWIRA ZA MTANANGE KATI YA TAIFA STARS Vs IVORY COST

  Gervais Yao 'Gervinho' wa Ivory Coast akimtoka Amir Maftah wa Taifa Stars
  Drogba akifanya vitu vyake
 Mshambuliaji Mrisho Ngassa (kushoto) wa Taifa Stars akiwania mpira na Kolo Toure wa Ivory Coast.
 Beki wa timu ya soka ya taifa (Taifa Stars), Aggrey Morris (kulia) na kiungo Shaaban Nditi (kushoto) wakijaribu kumzuia mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast, Didier Drogba (katikati), wakati wa mchezo wao wa juzi wa mchujo kuwania nafasi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil, mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Felix Houphouet-Boigny mjini Abidjan. Ivory Coast ilishinda mabao 2-0.
  Didier Drogba (kushoto) akisalimiana na John Boko wa Taifa Stars baada mechi kumalizika
  Wachezaji wa akiba wakifuatilia kwa makini wakati wa mechi dhidi ya Ivory Coast jana.
Mashabiki wakicheki Mtanange wa Taifa Stars Vs Ivory Cost.Picha na Mpiga Picha Wetu

No comments:

Post a Comment