Tuesday, June 12, 2012

COET WAIBUKA MABINGWA WA SAYONA CUP - WAICHAPA BILA HURUMA TIMU YA SOED ( School of education )

Timu ya COET ( Collage of Enginering and Technology ) - Chuo kikuu Dar es salaam imefanikiwa kuiondosha timu ya SOED ( School of Education ) nayo ya Chuo Kikuu Dar es salaam kwa kuifunga jumla ya mabao matano bila majibu ( 5-0 ) katika mchezo wa fainal ligi kuu ya Sayona ( SAYONA CUP ).
COET ambayo iliingia hatua ya  fainal baada ya kuitoa UDBS kwa bao moja bila ( 1-0 ) ilionekana kuwa tishio katika michuano hiyo kwa kuwa na wafungaji wazuri na mabeki makini. SOED kwa upande wao walikuwa wakiungwa mkono na idadi kubwa ya watu kwani haikupoteza mchezo wowote tangu mwanzo wa michuano.
Mpaka tunaingia mapumzikoni COET ilikuwa inaongoza ( 2-0 )timu ya COET wakijiandaa na mchezo

Timu ya SOED wakijiandaa kwa mchezo
mashabiki wa tim ya soka ya coet-udsm muda wa mapumziko baada ya kipindi cha kwanza cha kandanda

vijan wa COET wakiimba - hii ndio a! aa, aa, aa! ina mkia mfupi aa, aa,aa!
hii ndio ee! ee, ee,ee, ina......

No comments:

Post a Comment