Tuesday, June 12, 2012

Kichanga Chatupwa katika Dampo jijini Mbeya: Wanawake,Jamani Ukatili huu hadi lini?

Kichanga kikiwa kimetupwa katika Dampo la Takataka Soweto Mbeya
 
Baadhi ya akina Mama na watu wengine waliofika eneo hilo kutazama kichanga hicho ambapo Mama  Mzazi hajafahamika. Hata hivyo Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi. Picha na Allt Kingo

No comments:

Post a Comment